Kwa Mujibu wa Shirika la Habari la Kimataifa la Ahlul-Bayt (as) –ABNA– Wachezaji wa timu ya taifa ya Morocco walifanya sajda ya shukrani kwa Mwenyezi Mungu mara baada ya kuibuka na ushindi dhidi ya Canada katika michuano inayoendelea.
Katika kusherehekea ushindi huo, wachezaji hao walionekana wakipeperusha bendera ya Palestina, wakionesha mshikamano wao na wananchi wa Palestina mbele ya mashabiki na vyombo vya habari.

Your Comment